Burkina Faso vs Equatorial Guinea, saa 9:30 alasiri
Algeria vs Sudan, saa 12:00 jioni
Ivory Coast vs Msumbiji, saa 2:30 usiku
Cameroon vs Gabon, saa 5:00 usiku
Matokeo ya Jumanne, Desemba 23, 2025
Congo Dr 1-0 Benin, saa 9:30 alasiri
Senegal 3-0 Botswana, saa 12:00 jioni
Nigeria 2-1 Tanzania, saa 2:30 usiku
Tunisia 3-1 Uganda, saa 5:00 usiku.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.