
TAWASIFU YA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD NGOYAI LOWASSA
Tumsifu Yesu Kristu, Bwana Yesu Asifiwe, Raha ya Milele umpe Eeeh Bwana, apumzike kwa Amani. Raha ya Milele umpe Eeeh Bwana, apumzike kwa Amani. Raha ya Milele umpe Eeeh Bwana, apumzike kwa Amani. Tunaposimama hapa leo, mioyo yetu imejaa huzuni na machozi, lakini pia, imejaa shukrani na heshima kwa maisha ya kipekee ya Baba…