
KIUNGO WA KAZI AMEWAINGIZA VITANI YANGA NA SIMBA
INAELEZWA kuwa kiungo wa kazi rasta Awesu Awesu yupo kwenye rada za mabosi wa Yanga ambao wanahitaji saini yake pia anatajwa kuwindwa na Simba kwa ajili ya kuwa naye wakati ujao kwenye eneo hilo nyota huyo ambaye yupo ndani ya KMC.