
KOCHA WA MANULA APATA DILI AFRIKA KUSINI
SIMBA ipo kwenye mchakato wa kusaka kocha mpya wa makipa baada ya Tyron Damons kupata dili jipya nchini Afrika Kusini. Taarifa rasmi kutoka Simba imeeleza kuwa kwa hatua ambayo wamefikia wanamshukuru kocha huyo hivyo watasaka mbadala wake kwa ajili ya kuwa kwenye kikosi hicho. “Klabu ya Simba inamtakia kila la heri kocha wa magoli kipa…