
TABORA UNITED WAJIVUNIA MWAMBA HUYU
UONGOZI wa Tabora United umeweka wazi kuwa unajivunia uwepo wa nyota wao John Noble ambaye ni kipa namba moja wa timu hiyo. Tabora United ni miongoni mwa timu ambazo zimepanda daraja zikiwa zinapambana kufanya vizuri kwenye ligi. Ofisa Habari wa Tabora United, Chritina Mwagala ameweka wazi kuwa wachezaji wao wanafanya kazi kubwa kwa ajili ya…