


WAARABU WAKISANDA SIMBA WAKUBALI MUZIKI WA YANGA
WAARABU wa Algeria kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hawakuwa na ujanja walipotulizwa kwa mabao 4-0 dhidi ya Yanga mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa jambo ambalo limeipa nafasi Yanga kutinga hatua ya robo fainali.

MAJOGOO WASEPA NA KOMBE MUUAJI ACHEKELEA VIJANA
KLABU ya Liverpool imetwaa ubingwa na wa Carabao kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Chelsea Uwanja wa Wembley. Katika dakika 90 za mwanzo ngoma ilikuwa ngumu wakati Liverpool ikicheza bila ya uwepo wa mshambuliaji wao nyota Mohamed Salah ambaye bado hajawa fiti. Beki wa kazi ngumu Virgil van Dijk alifunga bao pekee la ushindi kwenye…

UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
Soma Gazeti la Championi kwa urahisi mtandaoni kupitia Global App: https://globalapp.co.tz Au M-Paper: https://rifaly.com/newspaper/199837/Champion%20Jumatatu

AZAM FC NGOMA NZITO, MASHUJAA WAKOMBA DHAHABU
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wameambulia pointi moja ugenini kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons ikiwa ni mzunguko wa pili. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Sokoine umesoma Tanzania Prisons 1-1 Azam FC. Ni Samson Mbangula alianza kupachika bao mapema dakika ya 5 likawekwa usawa na Fei Toto dakika…

SIMBA AKILI ZOTE KWA JWANENG
SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba amesema mpango mkubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy. Ipo wazi kwamba mchezo uliopita wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundiilishuhudia ubao ukisoma ASEC Mimosas 0-0 Simba. Ndani ya msako wa pointi tatu wababe hao wote wawili waligawana pointi mojamoja…

YANGA YAKOMBA MILIONI 20 KISA WAARABU
YANGA wameandika rekodi ya kutinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya wapinzani wao CR Belouizdad mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ushindi huo umewapa fursa Yanga chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi kuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya robo fainali kwa Tanzania huku Simba ikiwa na kibarua cha kusaka ushindi…

MUDATHIR BALAA LAKE ACHA KABISA
MWAMBA Mudathir Yahya ndani ya uwanja kasi yake imekuwa kubwa ndani ya uwanja kwa kufanya kazi kubwa katika kutimiza majukumu yake kitaifa na kimataifa

AACHWE KABISA MWAMBA WA LUSAKA CHAMA NDANI YA SIMBA
AACHWE kabisa mwamba wa Lusaka Clatous Chama ndani ya Simba kutokana na yale ambayo anayoyafanya
YANGA YATINGA ROBO FAINALI KIBABE
Wananchi wanaandika historia ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa 4-0 dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria kwenye hatua ya makundi. FT: Young Africans ?? 4-0 ?? CR Belouizdad ⚽️ Mudathir Yahya 43’ ⚽️ Aziz Ki 46’ ⚽️ Kennedy Musonda 48’ ⚽ Joseph Guede…

MERIDIANBET YATOA MSAADA KWA ZAHANATI YA KIJITONYAMA
Neno ambalo unaweza kusema ni kua Kijitonyama imebarikiwa kwakua imepata nafasi ya kufikiwa na kampuni bingwa kabisa ya michezo ya kubashiri ya Meridianbet, Ambapo wameweza kufika eneo hilo na kutoa msaada katika Zahanati. Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamefanikiwa kutoa msaada wa vifaa vya usafi katika Zahanati hiyo, Kwani wametoa Ndoo za kuhifadhia takataka…

Kwapua Mkwanja wa Meridianbet Jumamosi ya Leo
Jumamosi za leo nyasi mbalimbali kwenye ligi tofauti zitawaka vilivyo, huku kila timu ikihitaji kukusanya pointi tatu za muhimu ili kuendelea kujikita kwenye nafasi nzuri za msimamo wa ligi. Nani ni nani leo. Ingia meridianbet na utandike jamvi lako. Darubini yangu inaanza kumulika ligi ya EPL ambapo pale Old Trafford Manchester United baada ya…

SIMBA NGOMA NI NZITO KIMATAIFA
WAWAKILISHI wa Tanzania Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ngoma ni nzito baada ya kugawana pointi moja na wapinzani wao ASEC Mimosas. Kwenye mchezo huo wa hatua ya makundi Simba ilikuwa na hesabu za kupata pointi tatu kama ilivyokuwa kwa wapinzani wao mwsho ubao ukasoma ASC Mimosas 0-0 Simba. Ngoma ni nzito kwa Simba katika…

AMEINGIA ANGA ZA SIMBA KIRAKA WA YANGA
INAELEZWA kuwa benchi la ufundi la Simba hesabu zake ni kuipata saini ya kiraka anayekipiga ndani ya kikosi Azam FC

SIMBA NA ASEC WATOKA SARE, JWANENG GALAXY VS WYDAD KUCHEZA LEO
Mnyama anaondoka na pointi moja katika dimba la Félix Houphouët-Boigny, Abidjan kufuatia sare ya 0-0 dhidi ya wenyeji, Asec Mimosas. FT: Asec Mimosas ?? 0-0 ?? Simba SC MSIMAMO KUNDI B 1. ?? Asec — 11 2. ?? Simba — 6 3. ?? Jwaneng — 4 4. ?? Wydad — 3 LEO KUNDI B: Jwaneng…

RAIS WA CONGO, FELIX TSHISEKEDI ATANGAZA KUMPATIA ZAWADI MCHEZAJI LUVUMBU NZINGA
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi ametangaza kumpatia zawadi mchezaji Luvumbu Nzinga ambaye ameachana na klabu ya Rayon Sports ya Rwanda hivi karibuni. Katika mkutano na waandishi wa habari alifahamisha kuwa Luvubu alionyesha ushujaa katika kuwapigania wananchi wa DRC waliopo Kaskazini mwa nchini hiyo ambao wanaendelea kuyakimbia makazi yao kutokana na mapigano…

YANGA?? Vs CR BELOUIZDAD?? LEO SAA MOJA KAMILI USIKU
Baada ya Mnyama kutoa sare jana dhidi ya ASEC MIMOSAS leo ni zamu ya Wananchi kuingia mzigoni… Wananchi wanahitaji ushindi wa mabao mengi ili waweze kupata uhakika wa kusonga mbele… KILA LA KHERI WANANCHI