
ARAJIGA APATA SHAVU HUKO
KUTOKA Tanzania mwamuzi Ahmed Arajiga amepata shavu la kuwa miongoni mwa waamuzi kwenye mashindano ya All African Games ikiwa ni jambo la kujivunia hivyo ana kazi ya kuongeza umakini kwenye kutimiza majukumu yake. Ipo wazi kuwa waamuzi wa Bongo wamekuwa wakiingia kwenye lawama mara kwa mara kutokana na kile kinachotajwa kutokuwa na maamuzi makini ya…