
SINGIDA BLACK STARS YAIPIGA MKWARA YANGA SC
UONGOZI wa Singida Black Stars umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya kutwaa ubingwa mbele ya Yanga SC kwenye mchezo wa fainali CRDB Cup unaotarajiwa kuchezwa Juni 28, 2025 Uwanja wa New Amaan Complex ikiwa ni funga kazi msimu wa 2024/25. Husssen Masanza, Ofisa Habari wa Singida Black Stars ameweka wazi kuwa wanatambua kuna…