
TFF YATANGAZA UCHAGUZI MKUU AGOSTI 16, 2025 JIJINI TANGA
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inapenda kuwataarifu wadau wote wa mpira wa miguu kuwa Uchaguzi Mkuu wa TFF utafanyika tarehe 16 Agosti, 2025 katika jiji la Tanga. Nafasi Zitakazogombewa: Rais wa TFF – Nafasi 1 Wajumbe wa Kamati ya Utendaji – Nafasi 6 Gharama za Fomu za Kugombea: Rais:…