
FAINALI CRDB FEDERATION CUP KUPIGWA JUNI 29 2025
MCHEZO wa fainali ya CRDB Federation Cup kati ya Yanga SC vs Singida Black Stars umepelekwa mbele mpaka Juni 29 2025, Uwanja wa New Amaan saa 2:15 usiku. Awali mchezo huo ulitarajiwa kuchezwa Juni 28 2025, mabadiliko hayo yametokana na uwepo wa mchezo wa Kariakoo Dabi kati ya Yanga SC vs Simba SC. Mchezo wa…