
JESHI LA POLISI LATOA ONYO KABLA YA MECHI YA WATANI WA JADI – VIDEO
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwa limechukua hatua kali za kiusalama kuelekea mchezo mkubwa wa soka kati ya timu ya Simba na Yanga utakaochezwa Jumatano, tarehe 25 Juni 2025, katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Akitoa taarifa kwa umma leo, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya…