
HIZI HAPA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI KIMATAIFA BONGO
MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, Almas Kasongo amesema kuwa ni timu nne ambazo zitaiwakilisha Tanzania katika anga la kimataifa. Ni katika michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho barani Afrika ambapo ni nafasi nne zipo kwa timu za Tanzania. Kasongo amesema Yanga na Simba tayari wameshapatikana kuwakilisha michuano ya Ligi ya…