
CHEKI MSAKO ULIVYOKUWA NDANI YA DAKIKA 180
NI msako wa bingwa mpya wa Azam Sports Federation unaendelea ambapo katika raundi ya pili wababe walikuwa kazini kila timu kusaka ushindi. Kagera Sugar waliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Dar City ambao wameumaliza mwendo. Katika ardhi ya Dar vigogo wawili walikuwa kazini wakiandika rekodi namna hii:- Hat trick hii hapa Mwamba Clement…