
HUYU HAPA NAMBA MOJA NDANI YA SIMBA
MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama ndani ya kikosi cha Simba ni namba moja kwa nyota ambao wamehusika kwenye mabao mengi ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24
MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama ndani ya kikosi cha Simba ni namba moja kwa nyota ambao wamehusika kwenye mabao mengi ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa amefurahishwa na utendaji wa kazi wa wachezaji wake kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns. Kitendo hicho ni sawa na kuwapa tano wachezaji wake huku wakipiga hesabu za kupata ushindi kwenye mchezo wa mkondo wa pili ugenini utakaoamua nani ni nani atakeyetinga…
WAARABU wa Misri, Al Ahly wameacha balaa zito ndani ya Simba kutokana na kuwaduwaza Uwanja wa Mkapa wakisepa na ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali. Kazi kubwa kwa Simba ni kupambana kusaka ushindi kwenye mchezo wa mkondo wa pili unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Taifa wa Cairo Aprili 5 2024….
UONGOZI wa Simba licha ya Machi 29 2024 mambo kuwa magumu kwao kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 0-1 Al Ahlyumebainisha kuwa matumaini bado yapo kufanikisha malengo yao. Ipo wazi kwamba malengo ya Simba kwenye anga la kimataifa ni kufika hatua ya nusu fainali jambo ambalo wanalipambania kwa sasa. Katika mchezo huo…
ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wale wengi wanaofikiria safari ya Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika itagotea hatua ya robo fainali hawataamini macho yao kwa kuwa wanaamini watafanya vizuri. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, Machi 30 inatarajiwa kutupa kete ya kwanza katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya…
Hii inaweza kusema wamefikiwa sasa kwani baada ya mabingwa michezo ya kubashiri Meridianbet kupita maeneo mbalimbali ya jijini Dar-es-salaam lakini hawakua wamefika katika eneo la Magomeni na kutoa msaada. Meridianbet wamelifikia eneo la Magomeni na kufanikiwa kugawa Reflectors kwa Bodaboda wa eneo hilo kama ilivyo utaratibu wa kampuni ya Meridianbet kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii yao…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa licha ya ubora ambao walikuwa nao wakipoteza mbele ya Al Ahly wana nafasi ya kufanyia kazi makosa yao kuelekea mchezo wa marudio Caro. Mbele ya mashabiki wao waliojitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa, Machi 29 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba walishuhudia ubao ukisoma Simba 0-1 Al…
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa pale wanapokatiwa tamaa kushindwa kufanya vizuri kwenye anga la kimataifa hapo wanapataka kwa kuwa ni njia kwao kuoyesha uwezo wao ndani ya uwanja na inawezekana. Machi 30 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi inatarajiwa usaka ushindi dhidi ya Mamelodi Sundwons Uwanja wa Mkapa ikiwa ni hatua ya robo fainali…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga leo watakuwa Uwanja wa Mkapakusaka ushindi dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Kwenye mchezo wa leo mitambo ya kazi ambayo haikuwa fiti inatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi miongoni mwao ni Khalid Aucho, Pacome, Zawad Mauya huku YaoYao na Kibwana Shomari ripoti ya daktari itaamua uwepo…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ana balaa huyo ndani ya uwanja kutokana na kutimiza majukumu yake kwa umakini akishirikiana na wachezaji wenzanke ndani ya uwanja katika kusaka ushindi. Ni namba moja kwa utupiaji ndani ya ligi katika kikosi cha Yanga akiwa na mabao 13.
Unaambiwa hivi ukiwa na Meridianbet suala la kukosa hela ni kuamua wewe tu, lakini kupitia michezo ya kasino ya mtandaoni kibao unaweza kuingiza pesa ndefu sana kila siku. Kuna huu mchezo unaitwa Super Heli kasino unakupa ushinndi mkubwa na zawadi kibao kama vile TV, Simu Janja na Bonasi za kasino kama zote. Mtoa…
KUPOTEZA kwa Simba kwenye robo fainali ya kwanza Uwanja wa Mkapa kunaongeza ugumu kwa timu hiyo kutinga hatua ya nusu fainali. Wachezaji wa Simba watajilaumu wenyewe kuwa kwenye mwendelezo wa kukwama kutumia nafasi ambazo walizitengeneza ndani ya dakika 90. Haijaisha mpaka iishe kazi itakuwa kwa Yanga Machi 30 kufunga mchezo wa hatua ya robo fainali…
WAKIWA kwenye maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns uongozi wa Yanga umetaja matokeo ambayo yatatokea baada ya dakika 90 kwenye mchez wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa Machi 30 Uwanja wa Mkapa
IKIWA Simba itakosa ushindi mbele ya Al Ahly angalau mabào manne Uwanja wa Mkapa inakwenda kuwa ngumu kwa sababu Al Ahly wakiwa Uwanja wa taifa wa Cairo wanashambulia kama nyuki. Katika mchezo wa African Football League uliochezwa Misri Oktoba 24 2023 ubao ukasoma Al Ahly 1-1 Simba walicheza mpira wa kasi mwanzo mwisho. Ni mashuti…
MASTAA wa Simba kwenye anga la kimataifa Ligi ya Mabingwa Afrika wamevuja jasho mwanzo mwisho kupambania kombe na hapa tunakuletea dakika zao huku kwa upande wa makipa mwamba Ayoub Lakred amekuwa akipeta eneo hilo
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kuwa mpango mkubwa kwenye mechi za kimataifa ni kupata ushindi wapo tayari kutokana na maandalizi ambayo wanayafanya kwenye uwanja wa mazoezi. Machi 30 Yanga inatarajiwa kukabiliana na Mamelodi Sundowns mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo wao uliopita kwenye ligi Yanga…
KOCHA Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha ameweka wazi kuwa mpango mkubwa kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ni kupata ushindi wakiwa nyumbani. Simba ina kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Machi 29 2024 na Machi 27 walifanya maandalizi ya mwisho…