YANGA YAWASILI MISRI KUWAKABILI WAARABU

MSAFARA wa kikosi cha Yanga inayofundishwa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi kimewasili salama nchini Misri kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Timu hiyo inatarajiwa kuvaana na Waarabu wa Misri Al Ahly kwenye mchezo wa mwisho wa kundi D na timu zote zina uhakika wa kuwa ndani ya robo fainali Ligi ya Mabingwa…

Read More

PUMZIKA KWA AMANI DR WA MPIRA

 KLABU ya Soka ya Azam, imetangaza kifo cha aliyekuwa daktari wa timu hiyo, Mwanandi Mwankemwa, kilichotokea katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke. Dkt. Mwankemwa alianza majukumu yake Azam FC, mwaka 2008 na katika kipindi chote cha utendaji wake, amehusika kuwasindikiza wachezaji katika matibabu ya ndani na nje ya nchi. Mwankemwa aliingia katika udaktari…

Read More

YANGA KUWAFUATA WAARABU WA MISRI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AL Ahly ya Msiri unaotarajiwa kuchezwa Machi Mosi 2024 huku wakiwa kamili gado kuwafuata wapinzani wao kwenye mchezo huo. Ali Kamwe ambaye alipata changamoto ya kiafya muda mfupi baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa…

Read More

AZAM FC WANAJIPANGA UPYA HUKO

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wanajipanga upya kurejea kwenye ushindani baada ya kukosa matokeo kwenye mechi za hivi karibuni ndani ya Ligi Kuu Bara. Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa mpango mkubwa kwenye mchezo wao dhidi ya Tabora United pamoja na mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons lakini ilishindikana kutokana na ushindani kuwa…

Read More

HESABU ZA YANGA KIMATAIFA ZIPO HIVI

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema bado kazi haijaisha kwenye mechi za kimataifa hivyo wataendelea kufanya maandalizi kuwa imara kwa mechi zinazofuata. Yanga ni timu ya kwanza kwenye ardhi ya Tanzania kutinga hatua ya robo fainali ikiwa na mchezo mmoja mkononi huku watani zao wa jadi Simba wakiwa na kibarua Machi 2 kutambua hatma…

Read More

SIMBA YATANGAZA VIINGILIO MECHI YA JUMAMOSI DHIDI YA JWANENG KWA MKAPA

“Tarehe 2 ya mwezi wa tatu tunakwenda kushinda tena ushindi wa kihistoria na kwenda robo fainali. Jwaneng tunamheshimu lakini amekuja wakati mbaya.” “Tiketi zimeshaanza kuuzwa na niwakumbushe Wanasimba rekodi zote ambazo tuliziweka, ziliwekwa na Wanasimba wenyewe. Wakati tunamfunga AS Vita mara 2, wakati tunamfunga Horoya mabao 7 ushindi wote ulitokana na mashabiki wa Simba. Ili…

Read More

MAJOGOO WASEPA NA KOMBE MUUAJI ACHEKELEA VIJANA

KLABU ya Liverpool imetwaa ubingwa na  wa Carabao kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Chelsea  Uwanja wa Wembley. Katika dakika 90 za mwanzo ngoma ilikuwa ngumu wakati Liverpool ikicheza bila ya uwepo wa mshambuliaji wao nyota Mohamed Salah ambaye bado hajawa fiti. Beki wa kazi ngumu Virgil van Dijk alifunga bao pekee la ushindi kwenye…

Read More