
DIAMOND PLATNUMZ ATOA USHARI KWA VIJANA WENYE TAMAA NA MAISHA
SUPASTAA wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, ametoa ushari kwa vijana kuwa vijana wenzangu, sina kikubwa cha kuwapa ila kuwasihi kutumia changamoto na kheri za maisha yangu kama moja ya motisha ya maisha yenu kwenye mbio za kujikomboa Kimaendeleo muamini ya kwamba kila kitu kinawezekana chini ya jua……