
SIMBA MPYA KUIKABILI AL AHLY KWA MKAPA
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa wanatambua ugumu uliopo kwenye mashindano wanayocheza lakini wapo tayari kuona kwamba wanashinda mchezo huo ambao ni muhimu kwao. Simba inapeperusha bendera ya Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa hatua ya makundi ambapo kuna timu mbili kutoka Tanzania. Yanga wao watakuwa na…