
AZAM FC YAPETA MBELE YA ZIMAMOTO
KLABU ya Azam FC kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Zimamoto waliibuka na ushindi wa mabao 2-1 baada ya dakika 90 kukamilika. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Azam Complex Azam FC walianza kupata bao la kuongoza ilikuwa dakika ya 10 kupitia kwa mwamba Kipre Junior katika mchezo huo. Kabla ya mapumziko Hilika dakika ya 28…