
MKALI WA PASI ZA MWISHO BONGO FEI ISHU YAKE IPO HIVI
FEISAL Salum, Fei Toto kiungo wa Azam FC ambaye ni namba moja kwenye pasi za mwisho za mabao ndani ya Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora jina lake limekuwa likitajwa kuwa katika rada za Simba. Kiungo huyo aliibuka ndani ya Azam FC akitokea Yanga ambapo kwa sasa amekuwa ni chaguo la kwanza…