
YANGA KUCHEZA KWA KUWASHAMBULIA WAARABU
MPANGO kazi kwa Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly utakuwa ni kucheza kwa kushambulia kwa kuwa ni sanaa inayopendwa na benchi la ufundi. Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema kuwa anapenda kuona timu ikicheza na sio kujilinda muda mrefu jambo ambalo limekuwa likiwapa matokeo chanya. Yanga ina kibarua…