
MUDATHIR BALAA LAKE ACHA KABISA
MWAMBA Mudathir Yahya ndani ya uwanja kasi yake imekuwa kubwa ndani ya uwanja kwa kufanya kazi kubwa katika kutimiza majukumu yake kitaifa na kimataifa
MWAMBA Mudathir Yahya ndani ya uwanja kasi yake imekuwa kubwa ndani ya uwanja kwa kufanya kazi kubwa katika kutimiza majukumu yake kitaifa na kimataifa
AACHWE kabisa mwamba wa Lusaka Clatous Chama ndani ya Simba kutokana na yale ambayo anayoyafanya
Wananchi wanaandika historia ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa 4-0 dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria kwenye hatua ya makundi. FT: Young Africans ?? 4-0 ?? CR Belouizdad ⚽️ Mudathir Yahya 43’ ⚽️ Aziz Ki 46’ ⚽️ Kennedy Musonda 48’ ⚽ Joseph Guede…
Neno ambalo unaweza kusema ni kua Kijitonyama imebarikiwa kwakua imepata nafasi ya kufikiwa na kampuni bingwa kabisa ya michezo ya kubashiri ya Meridianbet, Ambapo wameweza kufika eneo hilo na kutoa msaada katika Zahanati. Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamefanikiwa kutoa msaada wa vifaa vya usafi katika Zahanati hiyo, Kwani wametoa Ndoo za kuhifadhia takataka…
Jumamosi za leo nyasi mbalimbali kwenye ligi tofauti zitawaka vilivyo, huku kila timu ikihitaji kukusanya pointi tatu za muhimu ili kuendelea kujikita kwenye nafasi nzuri za msimamo wa ligi. Nani ni nani leo. Ingia meridianbet na utandike jamvi lako. Darubini yangu inaanza kumulika ligi ya EPL ambapo pale Old Trafford Manchester United baada ya…
WAWAKILISHI wa Tanzania Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ngoma ni nzito baada ya kugawana pointi moja na wapinzani wao ASEC Mimosas. Kwenye mchezo huo wa hatua ya makundi Simba ilikuwa na hesabu za kupata pointi tatu kama ilivyokuwa kwa wapinzani wao mwsho ubao ukasoma ASC Mimosas 0-0 Simba. Ngoma ni nzito kwa Simba katika…
INAELEZWA kuwa benchi la ufundi la Simba hesabu zake ni kuipata saini ya kiraka anayekipiga ndani ya kikosi Azam FC
Mnyama anaondoka na pointi moja katika dimba la Félix Houphouët-Boigny, Abidjan kufuatia sare ya 0-0 dhidi ya wenyeji, Asec Mimosas. FT: Asec Mimosas ?? 0-0 ?? Simba SC MSIMAMO KUNDI B 1. ?? Asec — 11 2. ?? Simba — 6 3. ?? Jwaneng — 4 4. ?? Wydad — 3 LEO KUNDI B: Jwaneng…
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi ametangaza kumpatia zawadi mchezaji Luvumbu Nzinga ambaye ameachana na klabu ya Rayon Sports ya Rwanda hivi karibuni. Katika mkutano na waandishi wa habari alifahamisha kuwa Luvubu alionyesha ushujaa katika kuwapigania wananchi wa DRC waliopo Kaskazini mwa nchini hiyo ambao wanaendelea kuyakimbia makazi yao kutokana na mapigano…
Baada ya Mnyama kutoa sare jana dhidi ya ASEC MIMOSAS leo ni zamu ya Wananchi kuingia mzigoni… Wananchi wanahitaji ushindi wa mabao mengi ili waweze kupata uhakika wa kusonga mbele… KILA LA KHERI WANANCHI
NYOTA wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil, Dani Alves amehukumiwa kifungo cha miaka minne na miezi 6 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumnyanyasa kingono mwanamke mmoja katika klabu ya usiku ya Barcelona mnamo mwaka 2022. Uamuzi huo umefanywa na Mahakama kuu Nchini Uhispania ambayo sambamba adhabu hiyo imemuamuru beki huyo wa…
Utamu wa kubashiri ni kula pesa na hii yote utaikuta kwa wababe wa ubashiri Tanzania pekee meridianbet ambapo hapa unapata ODDS KUBWA na za kibabe sana. Timu nyingi zipo uwanjani leo weka mkeka wako uamke na pesa asubuhi kesho. LIGUE 1 kule Ufaransa kurindima leo ambapo Lyon atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Metz…
LIGI ya Mabingwa Afrika inatarajiwa kuendelea leo Februari 23 kwa timu kushuka uwanjani kusaka ushindi ndani ya uwanja katika dakika 90. Wababe ASEC Mimosas watakuwa kazini kwenye mchezo dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa nchini Ivory Coast. Kwenye mchezo uliopita walipokutana Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Simba 1-1 ASEC Mimosas walipogawana pointi mojamoja. Al Hilal itakuwa…
KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, Bakari Shime amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya Afrika Kusini. Shime ameweka wazi kuwa muda wa maandalizi waliopata walitumia kufanyia kazi makosa na kupeana mbinu ambazo zitakuwa kielelezo kwenye mchezo ndani ya dakika 90. Mchezo huo unatarajiwa…
Hii habari njema kwa wapenzi wote wa michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet ambao tayari wamejisajili na hata wasiojisajili, wana nafasi ya kushinda mgao wa Bilioni 2 kwa watu ambao watachagulia baada ya kuibuka washindi wa promosheni ya “Bonanza la Bonasi Papo Hapo”. Promosheni ya “Hall of fame: Bonanza la Bonasi Papo Hapo” imeanza…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wanaingia kàtika orodha ya timu ambazo zimepata ushindi mkubwa katika mechi za Azam Sports Federation ikiwa ni raundi ya tatu. Ubao wa Uwanja wa Azam Complex Februari 22 2024 baada ya dakika 90 ilikuwa Azam FC 5-0 Green Warriors. Mabao ya Idd Suleiman Nado dakika ya 32, Kipre Junior dakika…
AMELETA balaa Clatous Chama ndani ya Simba ambayo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas