
KAKOLANYA ATOROKA KAMBINI SINGIDA FOUNTAIN GATE
UONGOZI wa Singida Fountain Gate umebainisha kwamba kipa wao namba moja Beno Kakolanya ametoroka kambini. Taarifa iliyotolewa na Singida Fountain Gate inayoshiriki Ligi Kuu Bara imebainisha kuwa kipa huyo ametoroka muda mfupi wakiwa kwenye maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. “Klabu ya Singida Fountain Gate inasikitishwa na kitendo cha mchezaji wetu…