
GAMONDI:SIFANYI KAZI YA UBASHIRI, TUNA TAKWIMU NZURI
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema wanatambua mchezo dhidi ya Geita Gold hautakuwa mwepesi licha ya kuwa na mwendo mzuri katika mechi zilizopita. Kocha huyo amebainisha kwamba hawezi kusema kwamba watafunga mabao mengi kwenye mchezo dhidi ya Geita Gold kwa kuwa yeye hafanyi kazi ya ubashiri. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex…