
HAPA NDIPO TATIZO LA SIMBA LILIPO
HAPA ndipo tatizo la Simba kwenye mechi zake za ushindani limebainishwa lilipo kutoka kwenye benchi la ufundi jambo linalowafanya wasiwe kwenye uimara wa kupata matokeo chanya katika mechi za hivi karibuni.
HAPA ndipo tatizo la Simba kwenye mechi zake za ushindani limebainishwa lilipo kutoka kwenye benchi la ufundi jambo linalowafanya wasiwe kwenye uimara wa kupata matokeo chanya katika mechi za hivi karibuni.
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa wataingia kwa tahadhari kuwakabili wapinzani wao Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Machi 11 Yanga ambao wametoka kushuhudia ubao wa Uwanja wa Majaliwa ukisoma Namungo 1-3 Yanga watakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Ihefu. Katika mchezo huo…
Huu hapa mchezo mwingine mzuri kabisa na rahisi kujipigia mkwanja unaposhiriki michezo ya kasino ya mtandaoni, ni mchezo wa Barbary Coast maharamia wenye nguvu wanaopatikana baharini, kazi yao ni kuteka meli zenye mizigo na kujimilisha. Unapokuwa unaucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unakupa nafasi ya kujimilikisha alama nyingi za ushindi, kwa kupanga madau yako…
Pambano la mwisho kati ya Pep Guardiola na Jurgen Klopp kwenye Ligi Kuu England limemalizika kwa sare ya 1-1 katika dimba la Anfield. FT: Liverpool 1-1 Manchester City ⚽ Mac Allister (P) 50’ ⚽ John Stones 23 Hili ni pambano la 30 kati ya Klopp na Pep Guardiola ambapo Mjerumani huyo ameshinda mara 12, Mhispania…
MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama ameshindikana Bongo kutokana na kasi yake ndani ya uwanja kwenye kutimiza majukumu yake anapopata nafasi kikosi cha kwanza
Habari njema kwako mteja wa meridianbet ni kuwa ukibashiri na meridianbet ni rahisi sana kwako kupiga mkwanja. Unajua ni kwanini?. Ni kwasababu huku kuna Turbo Cash yaani kutoa pesa yako mapema kabla mechi hazijaisha. LALIGA leo hii kuna mitanange ya kutosha saa 10:00 Deportivo Alaves atapepetana dhidi ya Rayo Vallecano ambaye mechi ya kwanza walipokutana…
Sikuku ya wanawake duniani imekua ni baraka kwa wakina Mama wanaojishughulisha na ujasiriamali mdogo katika soko la Mwananyamala, Ambapo kampuni ya Meridianbet iliwafikia na kutoa msaada katika eneo hilo. Meridianbet walifanikiwa kufika eneo la Mwananyamala sokoni na kutoa msaada wa vyakula kwa kina Mama wanaofanya biashara katika soko hilo, Hii ni katika kuhakikisha wanathamini mchango…
TALIB Hilal mshauri wa Ufundi wa Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni ambaye alikuwa ni mchezaji wa zamani wa Simba ametoa sadaka kwa makundi maalumu kuelekea mfungo mtukufu wa Ramadhani. Hii ni mara ya tano kwa kocha huyo wa timu ya taifa ya ufukweni ya Oman kufanya hivyo akiweka wazi kuwa imani ya dini…
Moja ya habari njema kuwahi kutokea ni uwepo wa historia ya kale kuhusiana na miungu, na maisha ya zamani, hadithi hizi zinafurahisha na kuelimisha sana. Kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni na Playtech wanashirikiana kukuletea mchezo wa Age of the Gods Spin a Win. Age of the Gods Spin a Win ni mchezo wa kasino ya…
Mwanamuziki wa Tanzania Alikiba amezindua kituo cha redio kwa jina “Crown FM”. Uzinduzi huo ulifanyika usiku wa Jumamosi Machi 9 2024 katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dare es Salaam kwenye sherehe ya miaka 20 ya Kiba katika muziki. Akizungumza kwenye hafla hiyo, Kiba alielezea kwamba vyombo vya habari ni muhimu ndivyo vimemkuza kama mwanamuziki…
MWAMBA Willy Onana nyota wa Simba amefanya kitu ambacho kimeipa ushindi timu yake kwa kutimiza majukumu yake wakiibuka na ushindi ugenini dhidi ya CoastalUnion. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Coastal Union 1-2 Simba mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao umechezwa Uwànja wa Mkwakwani,Tanga. Mabao ya Simba yamefungwa na Fred Michael dakika ya 11 na…
KUUMIA kwa Henock Inonga mwamba Che Malone anarejea kikosi cha kwanza dhidi ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union , Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Mbali na Che Malone pia Aishi Manula kipa namba moja wa Simba hayupo kwenye mpango kazi wa leo ambapo benchi yupo Ally Salim. Shomari Kapombe, Zimbwe, Kennedy Juma na Ayoub Lakred watakuwa…
Je unajua kuwa Meridianbet ndio chimbo la ODDS KUBWA Tanzania nzima?. Basi kama ulikuwa hufahamu habari ndiyo hiyo, weka jamvi lako sasa na uanze kubashiri na meridianbet sasa. Ligi ya Ufaransa LIGUE 1, inatarajiwa kuwaka moto kwa mechi mbili pekee ambapo majira ya saa 1:00 usiku FC Lorient atakuwa mwenyeji wa Olympique Lyon ambaye alipoteza…
AMEREJEA ndani ya uwanja mkali wa mabao ndani ya kikosi cha Simba baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda kutokana na kutokuwa fiti. Ni Willy Onana ambaye anaitwa mali ameanza mazoezi na wachezaji wenzake kwa ajili ya kuendeleza ushindani na wachezaji wengine
Jiachie na mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni kutoka Expanse studio uliopo Meridianbet, Super Heli ni moja kati ya michezo bora kabisa kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa kasino. Unataka kusafiri umbali mrefu huku ukitengeneza pesa za kutosha? Chagua kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni utafurahia ulimwengu madhubuti wa michezo ya kasino. Mchezo wa Super…
Wakati ambao sakata la Prince Mpumelelo Dube likipamba moto pale viunga vya Azam Complex, pale Msimbazi mambo sio mambo, Jangwani wao wanakula upepo kwenye kilele cha Ligi Kuu ya NBC. Kila mtu Analia na kucheza ngoma kivyake. Wikiendi hii kuna michezo kadhaa ya Ligi kuu ya NBC itaendelea katika mikoa mbalimbali, Simba atakipiga na Wagosi…