GAMOND AJA NA JAMBO HILI KUHUSU WAFUNGAJI

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kuwa hawapi majukumu washambuliaji pekee kufunga ndani ya kikosi hicho bali kawapa uhuru wachezaji wote kufunga. Ikumbukwe kwamba, Yanga ini namba moja kwa kufunga mabao mengi ikiwa imetupia mabao 26 baada ya kucheza mechi 9. Gamondi amesema kuwa wachezaji wote wana kazi ya kutafuta matokeo uwanjani, hivyo ni…

Read More

MKWANJA MREFU ATAKUJA TEN HAG

INAELEZWA kuwa ikiwa Klabu ya Manchester United itaamua kuvunja mkataba na kocha Erik Ten Hag italazimika kumlipa zaidi ya pauni milioni 15. Ten Hag ambaye huu ni msimu wake wa pili ndani ya kikosi hicho anaonekana kuwa na wakati mgumu kutokana na matokeo yanayopatikana kutoridhisha. Kuna vuguvugu la Ten Hag kuvunjiwa mkataba wake kikosini hapo…

Read More

HILI JAMBO KUBWA KUTOKA KWA PROFESSOR JAY

MKONGWE kwenye muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule maarufu kama Professor Jay anatarajiwa kuzindua jambo kubwa kwa ajili ya jamii hivi karibuni. Taarifa imeeleza kuwa ni uzinduzi wa Taasisi ya Professor Jay Foundation, unaotarajiwa kufanyika Novemba 24, 2023, Mlimani City jijini Dar es Salaam. Taasisi hiyo imeanzishwa kwa lengo la kuwasaidia wagonjwa wa figo nchini,…

Read More

TUSUA MTONYO NA BETI ZA BURE ZA AVIATOR

Hii ni kwa kila mtu anayejua kucheza kasino mtandaoni na kwa wasiojua lolote, mchongo mkubwa kabisa wa kufungia mwaka huku ukipata maokoto ni kuwa rubani wa maisha yako kupitia ndege ya Aviator kutoka Meridianbet. Kuanzia Novemba 1 hadi Novemba 30, 2023 kutakuwa na Promosheni maalum kwa wachezaji wa Aviator kutoka Meridianbet kasino mtandaoni. Watu 10…

Read More

SIMBA YAGAWANA POINTI NA NAMUNGO NYUMBANI

KIKOSI cha Simba kimegawana pointi moja na Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Simba 1-1 Namungo ikiwa ni mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa. Namungo walianza kupata bao kipindi cha kwanza kupitia kwa mshambuliaji wa Relliats Lusajo. Lusajo alifunga bao hilo dakika ya 29…

Read More

INJINIA HERSI ATOA AHADI NZITO

RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, amewataka mashabiki wa timu hiyo kujivunia timu yao, huku akitamka kuwa upo uwezekano mkubwa wa kupata ushindi wa mabao zaidi ya matano msimu huu watakapokutana tena na Simba. Jeuri hiyo imekuja baada ya wikiendi iliyopita, Yanga kufanikiwa kuifunga Simba mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye…

Read More

NYONI ATUMA UJUMBE SIMBA

KIRAKA ndani ya kikosi cha Namungo, Erasto Nyoni ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba. Nyoni ameibuka ndani ya Namungo msimu wa 2023/24 baada ya kupewa Thank You ndani ya kikosi cha Simba. Leo Novemba 9 2023 Simba inatarajiwa kumenyana na Namungo ikiwa ni mchezo wa…

Read More

CHAMA ASHTUA NA KASI YAKE NDANI YA SIMBA

MWAMBA wa Lusaka, Clatous Chama mkali wa pasi za mwisho Novemba 8 2023 anatimiza saa 792 za kuganda bila kushangilia pasi yake ya bao wala kufunga ndani ya Ligi Kuu Bara. Ikumbukwe kwamba Oktoba 5 2023 ilikuwa ni mara ya mwisho kwa staa huyo wa Simba raia wa Zambia kufunga ndani ya ligi kwa msimu…

Read More

SIMBA V NAMUNGO HAIJAWAHI KUWA RAHISI

KITAUMANA leo kwa wababe wawili ndani ya uwanja kusaka pointi tatu muhimu kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru. Ni Simba watakuwa nyumbani wakiikaribisha Namungo wauaji wa kusini kwenye mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa na haitakuwa kazi rahisi kwa wote jasho litamwagika. Hapa tunakuletea baadhi ya hesabu zitakazoongeza ugumu kwa timu zote…

Read More

CHAMA KUMWAGA MAMILIONI Bet Winner

KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha, Bet Winner kupitia promo code ya CHAMA inakupa nafasi ya kupata bonasi hadi Shilingi 390,000 punde utakapojiunga na kuweka salio kwenye akaunti yako. Bet Winner ambayo kwa sasa inakimbiza kwenye soko la wanaobet mtandaoni, imeipa nafasi promo code ya CHAMA (kwa herufi kubwa) kuwa ndio itakayowapa bonasi wateja wake wote…

Read More