
SIMBA KWENYE KAZI LEO MUUNGANO
SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Kombe la Muungano dhidi yaKVZ ambao unatarajiwa kuchezwa leo Aprili 24, Uwanja wa New Amaan Complex. Kikosi hicho kinatarajiwa kuwa na kazi dakika 90 kusaka matokeo ambapo kwenye mechi zake tano mfululizo kimekwama kupata ushindi. Matola amesema; “Tunatambua umuhimu wa mchezo wetu…