
YANGA KUWAKABILI MASHUJAA KIGOMA
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga leo watakuwa kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Mashujaa Uwanja wa Lake Tanganyika. Ipo wazi kwamba Yanga ni namba moja kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi 62 baada ya kucheza mechi 24. nafasi ya pili ni Azam FC wenye pointi 54 huku Simba wakiwa nafasi ya…