
WEMBLEY KUWAKA MOTO LEO NI REAL MADRID DHIDI YA BORUSSIA DORTMUND FAINALI YA UEFA
Dimba la Wembley linalopatikana nchini Uingereza katika jiji la London litawaka moto leo kwani unaenda kupigwa mchezo wa kibabe wa fainali ya ligi ya mabingwa ulaya baina ya klabu ya Real Madrid dhidi ya klabu ya Borussia Dortmund. Klabu ya Borussia Dortmund wanarudi tena Wembley baada ya miaka 11 kupita kucheza fainali, Kwani mara ya…