
ORODHA YA NYOTA YANGA WANAOTAJWA KUPEWA THANK YOU
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 Yanga inayodhaminiwa na SportPesa ipo kwenye hesabu za kuwaacha baadhi ya mastaa ambao hawajafanya vizuri na wengine watasepa baada ya kandarasi zao kugota mwisho. Miongoni mwa wale ambao wanatajwa kwamba hawatakuwa ndani ya kikosi hicho ni Metacha Mnata, Skudu, Joyce Lomalisa.