
KIVUMBI KITAWAKA KWA MKAPA MZIZIMA DABI
ULE mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki Bongo Mzizima Dabi umepangiwa tarehe na sasa siku zinahesabika kufika muda wa wababe wawili kusaka ushindi. Ni Mzizima Dabi inatarajiwa kuwa Mei 9 kwa wababe wawili Azam FC kumenyana na Simba. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba baada ya dakika…