
WAZIRI MKUU AAGIZA RC’s, DC’s KUFANYA MAPITIO YA VIKUNDI VYA JOGGING
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kufanya mapitio ya vikundi vyote vya Jogging katika halmashauri zao na waviweka kwenye mipango ya maendeleo. “Nendeni mkawasikilize ili muwatambue, muwashike mkono na muwaongoze kushiriki katika kukuza uchumi wao binafsi kupitia miradi mbalimbali kwenye halmashauri” Amesema hayo leo (Jumapili, Juni 16, 2024)…