
SIMBA HESABU KWA DODOMA JIJI
BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kuwa maandalizi yanaanza kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Ipo wazi kwamba mchezo huo awali ulipangwa kuchezwa Mei 16 2024 lakini umepangiwa tarehe mpya ambayo itakuwa ni Mei 17 2024. Mchezo uliopita Simba chini ya Juma Mgunda akishirikiana na Seleman Matola…