
YANGA KUIKABILI STAND UNITED KMC COMPLEX
MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Stand United, Uwanja wa KMC Complex. Yanga metoka kupata ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika dhidi ya Azam FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja…