
MTIBWA SUGAR WAPO SIRIAZ NA JAMBO LAO
MTIBWA Sugar inayotumia Uwanja wa Manungu kwenye mechi za nyumbani wapo siriazi na jambo lao kurejea katika Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kushuka na kuibukia ndani ya Championship. Timu hiyo kwa sasa ni namba moja kwenye msimamo ikiwa na jumla ya pointi 60 baada ya kucheza mechi 25 ndani ya ligi msimu wa 2024/25….