
WANACHOKITAKA SIMBA KIMATAIFA HIKI HAPA, KAZI IPO
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ambacho wanahitaji kwenye mchezo wao wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini ni ushindi mkubwa ambao utawapa tiketi ya kufuzu hatua ya fainali moja kwa moja kwenye dakika 90 za mwanzo. Timu hiyo chini ya benchi la ufundi linaloongozwa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids,…