
ZIDANE: NINAAMBIWA MUDA WANGU BADO
ZIDANE Sereri nyota wa Azam FC ameweka wazi kuwa kuna dhana ya kukatishana tamaa kwenye masuala ya upambanaji jambo ambalo linasababisha wengi kukwama kufikia malengo yao. Nyota huyo atakumbukwa na kipa Moussa Camara wa Simba kwenye Mzizima Dabi alimtungua bao la jioni akiwa ndani ya 18 mwisho ubao ukasoma Simba 2-2 Azam FC na alichaguliwa…