
BACCA AMPA TANO GAMONDI
IBRAHIM Bacca beki wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Yanga ameweka wazi kuwa benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi linafanya kazi kubwa kuwasoma wapinzani na kubadili mipango kwenye mchezo husika. Ipo wazi kuwa kwenye mchezo wa mzunguko wa pili dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa Uwanja wa Azam Complex iliwabidi Yanga kusubiri…