
MTIBWA SUGAR KUIKABILI YANGA
MTIBWA Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu,Zuber Katwila ina kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ikiwa itapata ushindi kwenye mchezo wa leo itafikisha pointi 71 ikizidi kuwa namba moja na kufikia pointi zitakazowapa ubingwa. Itakuwa ni ubingwa wa 30 kwa Yanga ndani…