SIMBA YAIVUTIA KASI AL HILAL KIMATAIFA

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa maandalizi ya mchezo wao wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Al Hilal yamekamilika kwa asilimia kubwa na kilichopo kwa sasa ni maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo unaosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amebainisha kuwa wachezaji ambao walikuwa wamepewa mapumziko…

Read More

MWAMBA ADEBAYO APEWA TUZO YA MVP

MSHAMBULIAJi mpya wa Singida Black Stars Victorien Adebayo amepewa tuzo ya ufungaji bora na mchezaji bora, (MVP) kutokana na uwezo alionao ndani ya uwanja kwenye kucheka na nyavu.  Mshambuliaji raia wa Nigeria alikuwa anatajwa kuwa kwenye rada za Simba kwa muda mrefu mpango huo umekwama na mwisho yupo Bongo akiwa Klabu ya Singida Black Stars…

Read More

SITA WA SIMBA WAITWA TIMU ZA TAIFA

MASTAA sita wa Simba inayoongoza Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 wameitwa kwenye majukumu yao ya timu ya taifa kwa ajili ya kuwania kufuzu AFCON 2025. Ipo wazi kwamba Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kwenye mechi mbili za ligi ambazo ni dakika 180 imekomba jumla ya pointi sita na safu ya ushambuliaji imefunga…

Read More

AZAM FC WANAANZA KAZI BONGO

MATAJIRI wa Dar, Azam FC chini ya Kocha Mkuu Yusuph Dabo wanafungua pazia la Ligi Kuu Bara kwa mchezo wa kwanza ugenini dhidi ya JKT Tanzania. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 Azam FC iligotea nafasi ya pili na kupeperusha bendera ya Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo imegotea hatua ya awali. APR ya Rwanda…

Read More

YANGA HESABU ZIMEHAMIA HUKU SASA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi wamebainisha kuwa mpango mkubwa ni kupata matokeo kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Kagera Sugar. Huo utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Yanga inayonolewa na Gamondi ambaye alikuwa katika kikosi msimu wa 2023/24 na kushuhudia timu ikigotea nafasi ya kwanza na…

Read More

MZEE WA WAA BADO ANA KIBARUA KIZITO SIMBA

STARAIKA refu kuliko goli ndani ya Simba, Steven Mukwala ana kibarua kizito ndani ya Simba kufunga mabao mengi ili kuongeza hali ya kujiamini kutokana na mwendo ambao ameanza nao kuwa wakusuasua katika kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ikumbukwe kwamba nyota huyo haufunga kwenye mechi tatu mfululizo za ushindani ilikuwa Ngao ya Jamii…

Read More

SABABU YA SAMATTA KUTOITWA STARS YATAJWA, JOB AJUMUISHWA

KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitaingia kambini Agosti 28 2024 ambapo kutakuwa na mechi mbili kujiandaa na michezo ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea itaayochezwa Septemba 4 na Septemba 14 2024. Kaimu Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman Morocco amesema kuwa wachezaji wanaitwa kwenye timu kulingana na mahitaji…

Read More

SIMBA QUEENS YAPOTEZA KIMATAIFA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimatafa Simba Queens wamepoteza mchezo wa nusu fainali kwa kufungwa mabao 3-2 dhidi ya Kenya Police Bullets uliochezwa Uwanja wa Abebe Bikila, Ethiopia. Simba Queens ilikuwa inachuana kuwania tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao kupitia kwa kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa). Kupoteza kwenye…

Read More

AZAM FC MATAJIRI WA DAR KIMATAIFA MWENDO WAMEUMALIZA

MATAJIRI wa Dar, Azam FC kwenye anga la kimataifa mwendo wameuliza kwa kufungashiwa virago na APR ya Rwanda katika hatua a awali Ligi ya Mabingwa Afrika. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Dar Azam FC inyonolewa na Kocha Mkuu, Yusuph  Dabo ilipata ushindi wa bao 1-0 hivyo ilikuwa na…

Read More

MWAMBA AHOUA AMELETA BALAA FOUNTAIN GATE

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Jean Ahoua ameushtua uongozi wa Fountain Gate baada ya bao lake la kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara kutajwa kuwa ni miongoni mwa bao bora katika mchezo huo. Ukiweka mbali uongozi wa Fountain Gate kupitia kwa Ofisa Habari, Issa Liponda kutaja kuwa hilo ni bao pekee ambalo lilikuwa katika mipango makini…

Read More

CHAMA KALIAMSHA BALAA UPYA HUKO

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga, Clatous Chama ameliamsha balaa upya kutokana na mwendelezo wake wa ubora kwenye anga la kimataifa ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika katika kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Chama amekuwa gumzo kwa kuwa kwenye mchezo dhidi ya Vital’O uliochezwa Uwanja wa Azam Complex waliposhinda mabao…

Read More

KIMATAIFA NA KITAIFA NI KIVUMBI, RATIBA HII HAPA

KIVUMBI kinatarajiwa kuendelea leo Agosti 24 kwenye anga la kimataifa ambapo kuna mechi kwa timu za Afrika Mashariki zitakuwa kazini kusaka ushindi ndani ya dakika 90. Baada ya mchezo uliopita uliochezwa Uwanja wa Azam Complex Yanga kupata ushindi wa mabao 4-0 leo watakabiliana kwa mara nyingine dhidi ya wapinzani wao Vital’O itakuwa Uwanja wa Azam…

Read More

MRITHI MIKOBA YA MICHAEL FRED MAMBO SAFI SIMBA

RASMI Simba haitakuwa na nyota wao Michael Fred ambaye alikuwa kwenye kikosi hicho msimu wa 2023/24 kwenye mechi za ushindani kitaifa na kimataifa. Ikumbukwe kwamba Michael ambaye alipewa jina la fungafunga anaingia kwenye orodha ya nyota wapya ambao walipata nafasi ya kufunga kwenye Kariakoo Dabi kwenye mchezo wake wa kwanza ndani ya ardhi ya Tanzania….

Read More

MUTALE MAMBO BADO NDANI YA SIMBA

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, kuna uwezekano akakosekana kwenye mchezo ujao wa ligi. Ni nyota Joshua Mutale yeye kwa upande wake mambo bado kutokana na kutokuwa fiti kwa sasa wakati timu hiyo ikiwa kwenye maandalizi ya mchezo dhidi ya Fountain Gate. Nyota huyo alipata maumivu kwenye mchezo…

Read More