
ERIK TEN HAG KUSALIA KUWA MENEJA WA MANCHESTER UNITED
Erik Ten Hag atasalia kuwa meneja wa Manchester United kufuatia ukaguzi wa baada ya msimu mpya uliofanywa na bodi ya klabu hiyo. Inafahamika sasa wanazungumza na Ten Hag kuhusu kuongeza mkataba wake, ambao unakaribia kuingia msimu wake wa mwisho. United walianzisha ukaguzi wao mara baada ya fainali ya Kombe la FA. Ten Hag aliingia kwenye…