
YANGA YAIFUNGA DODOMA JIJI 5-0, YATUMA SALAMU KWA SIMBA KABLA YA DERBY
Klabu ya Yanga SC imeonyesha ubabe wake kwa kuichapa Dodoma Jiji mabao 5-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la New Amaan Complex, visiwani Zanzibar. Kwa ushindi huo mnono, Yanga si tu imejiongezea morali, bali pia imetuma ujumbe mzito kwa Simba kuwa wako tayari kwa vita ya kukata ubingwa au kulinda…