
TFF YATOA MAELEKEZO KWA WAGOMBEA WA UCHAGUZI MKUU 2025
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewataka waombaji wote wa nafasi ya uongozi kwenye Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika Agosti 16 mwaka huu Jijini Tanga kuhakikisha wanakuwa na Kanuni za Uchaguzi. Taarifa ya leo Juni 17, 2025 iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa wagombea hao wanapochukua fomu za kuwania uongozi katika uchaguzi huo wanatakiwa kuhakikisha…