
JEAN AHOUA ANAONGOZA CHATI YA UFUNGAJI BONGO
KWENYE eneo la kuitafuta tuzo ya ufungaji bora kazi inazidi kupamba moto ndani ya ligi ambapo wachezaji wamekuwa wakifanya kazi kubwa kutimiza majukumu yao wakipambania kusepa na pointi tatu. Katika eneo la utupiaji mabao ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ni Jean Ahoua wa Simba SC ambaye ametupia jumla ya mabao 16 msimu wa 2024/25…