
SIMBA SC KUFUNGA USAJILI NA MASHINE HIZI ZA KAZI
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC bado hawajamaliza usajili licha ya Agosti 21 kumtambulisha nyota mpya. Timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids kambi yake kwa maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26 ipo nchini Misri na wanatarajia kurejea muda sio mrefu katika ardhi ya Tanzania. Neo…