BEKI YANGA SC AONDOKA HUYO KUIBUKIA SINGIDA BLACK STARS
ALIYEKUWA beki wa kushoto wa Yanga SC, Nickson Kibabage tayari amejiunga na Singida Black Stars kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya mara baada ya kuachana na timu hiyo, katika msimu ujao. Beki huyo alikuwa katika kikosi cha Yanga SC msimu wa 2024/25. Alitwaa taji la ligi chini ya Kocha Mkuu Miloud Hamdi ambaye kwa…