MKWANJA WAWEKWA WA KUTOSHA KWA SIMBA KISA YANGA

SIMBA inatajwa kutangaza bonasi ya Sh 1Bil kuwapa wachezaji wao kama wakifanikiwa kuwafunga watani wao, Yanga katika Kariakoo Dabi. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu mabosi wa Yanga watangaze bonasi ya Sh 1Bil kama wakifanikiwa kuwafunga Simba katika dabi hiyo inayotarajiwa kupigwa Jumamosi hii saa 11:00 jioni kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Taarifa zimeeleza kuwa Wadhamini wa timu…

Read More

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA SIMBA UWANJA WA MKAPA

KIKOSI cha Yanga ambacho kitaanza leo mbele ya Simba kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba kipo namna hii:-Diarra Djigui,DjumaShaban,Kibwana Shomari,Dickson Job, Yannick Bangala, Khalid Aucho,SureBoy ,Feisal Salum,Fiston Mayele,KI Aziz na Farid Mussa. Kwa upande wa wachezaji wa akiba ni Aboutwalib Mshery,Joyce Lomalisa, Bakari Mwamnyeto,Bacca, Zawad Mauya,Bigirimana, Jesus Moloko,Bernard Morrison na Makambo. Yanga…

Read More

BETPAWA YANOGESHA AFCON KWA KUTOA ZAWADI

KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya betPawa imenogesha fainali ya Mataifa ya Afrika (Afcon) inayoendelea nchini Ivory Coast kwa kumwaga zawadi mbalimbali kwa mashabiki. Kampuni hiyo kwa sasa inaendesha kampeni “Soka Live na betPawa” ambapo mbali ya kuwakutanisha mashabiki kuangalia mpira pamoja, pia uwazawadia zawadi mbalimbali kama jezi, mabegi, mipira, vikombe, chupa za maji na…

Read More

Azam FC 2-0 Tanzania Prisons, hali ni tete

Azam FC 2-0 Tanzania Prisons, hali ni tete kwa wajelajela kutokana na mwendo usiofurahisha ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC Premier League. Baada ya dakika 90, Mei 22, 2026 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 2-0 Tanzania Prisons, magoli ya Feisal Salum dakika ya 15 na Idd Nado dakika…

Read More

WAMEANZA MSIMU KWA MAJANGA MASTAA HAWA

TAYARI mbio za kusaka ushindi kwenye Ligi Kuu Bara zinaendelea huku wachezaji wengine wakianza kwa majanga ya hapa na pale hali inayowafanya wasiwepo kwenye mechi za ushindani. Wapo wengine ambao walianza msimu lakini majukumu waliyopewa kwao yaliwapa matokeo tofauti na kile ambacho wengi walikuwa wanatarajia. Hapa tunakuletea baadhi ya mastaa ambao wameanza msimu kwa majanga…

Read More

KMC 0-1 YANGA, LIGI KUU BARA

DAKIKA 45 zimekamilika na ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma KMC 0-1 Yanga ikiwa ni mchezo wa ligi. Kazi kubwa imefanyika kwa timu zote kusaka ushindi ambapo ni Yanga walikuwa wa kwanza kuwatungua KMC. Bao la uongozi limejazwa kimiani na Clement Mzize ambaye alimalizia pigo la kona lililomshinda mlinda mlango David Kissu.

Read More