
SIMBA YATANGAZA KARIA KUWA MGENI MAALUMU DHIDI YA AL MASRI
Klabu ya Simba Sc imemtangaza Rais wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Wallace Karia kuwa Mgeni maalumu kwenye Mchezo wao wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Al Masri utakaopigwa Aprili 9, 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa. Akizungumza leo Aprili 4, 2025 kwenye uzinduzi wa Kispika,…