YANGA WANABALAA ZITO

YANGA vinara wa Ligi Kuu Bara wana balaa zito kutokana na kasi yao kuwa kwenye ubora kwenye mechi ambazo wanacheza msimu wa 2023/24. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa msimu wa 2023/24 walitwaa taji hilo baada ya kufikisha pointi 71 mchezo wao wa 27 dhidi ya Mtibwa Sugar uliochezwa Uwanja wa Manungu. Kwenye mchezo wa…

Read More

SIMBA YAZITAKA POINTI TATU ZA TABORA UNITED

BAADA ya kupata ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar, hesabu za Simba ni kupata ushindi mbele ya Tabora United. Ikumbukwe kwamba Simba ilipata ushindi huo kwenye mchezo wa ligi baada ya kupukutisha siku 50 bila kuambulia ushindi kwenye mechi za ligi. Ngoma ilikuwa Simba 2-0 Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa…

Read More

MASHUJAA KUONYESHA USHUJAA KWA YANGA

BENCHI la ufundi la Mashujaa limebainisha kwamba lipo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya vinara wa ligi ambao ni Yanga. Mchezo huo wa mzunguko wa pili unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma kwa wababe wote wawili kusaka pointi tatu muhimu. Ipo wazi kuwa kwenye mchezo wa…

Read More

YANGA KWENYE KAZI NYINGINE TENA

VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga leo wanakibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya JKT Tanzania. Yanga Aprili 20 2024 imetka kukomba pointi tatu dhidi ya Simba kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi. Katika mchezo huo baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 2-1 Simba hivyo ndani ya msimu wa 2023/24 nje…

Read More

SIMBA WATAJA MIPANGO YAO

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kazi kubwa ni kupata pointi tatu kwenye mechi ambazo wanacheza ikiwa ni mchezo dhidi ya Yanga. Kariakoo Dabi inatarajiwa kuchezwa Aprili 20 2024 ambapo Yanga walimabingwa watetezi watawakaribisha Simba. Simba imetoka kupata pointi moja dhidi ya Ihefu kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Liti. Ahmed Ally, Meneja wa…

Read More

SIMBA: TUMEUMIZWA VIBAYA MNO

UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba umeumizwa vibaya kukwama kupata matokeo kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika. Ilikuwa ni kwenye CRDB Federation raundi ya nne ambapo baada ya dakika 90 ubao ulisoma Mashujaa 1-1 Simba na kwenye penalti ilikuwa Mashujaa 6-5 Simba. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba…

Read More

M-BET YAMZAWADIA MSHINDI WA PERFECT 12 MILIONI 140.5

 SHABIKI wa  klabu ya Simba na Arsenal, Yahya Saidi Bakari  ameshinda sh 140,503,890 baada ya kubashiri kwa usahihi matokeo ya ligi mbalimbali duniani kupitia mchezo wa Perfect 12 wa kampuni M-Bet Tanzania. M-Bet Yazindua Kampeni Mpya Mbali ya kumzawadia mshindi huyo, M-Bet pia imezindua kampeni mpya  ijulikanyo kwa jina la M-Bet Likes You ambayo  itawawezesha washindi…

Read More