
TUSUA KIJANJA NA WAKALI WA UBASHIRI LEO
Kama kawaida ni banduka bandua leo tena mechi za Laliga pale Hispania zimekuja kwaajili ya kuhakikisha huondoki bila mpunga leo. Tandika jamvi la ushindi leo. Kule Italia kuna mechi nyingine ya Nusu Fainali ya COPPA ITALIA kati ya Bologna vs Empoli huku kwenye mechi ya kwanza walipokutana mgeni alipasuka. Hivyo leo hii anahitaji kulipa kisasi…