ISHU YA INONGA NA MAYELE YAJADILIWA NA KOCHA YANGA
ALIYEWAHI kuwa Kocha Mkuu wa Yanga ambaye sasa ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Soka la Vijana, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amefunga mjadala wa ubora wa mshambuliaji Fiston Mayele na beki wa Simba, Henock Inonga. Hiyo ni baada ya wachezaji hao kuzua mjadala mara baada ya mchezo wa Kariakoo Dabi uliozikutanisha Yanga dhidi ya Simba ambao ulichezwa…